Kocha wa Bayern Munichna kocha wa Barcelona |
Bayern
Munich imesema kuwa itang'ang'ana hadi dakika ya mwisho kubadilsha
matokeo ya 3-0 dhidi ya Barcelona wakati timu hizo zitakapokutana leo.
Mabingwa
hao wa Ujreumani walishindwa 3-1 dhidi ya Porto katika mechi ya robo
fainali kabla ya kubadilisha matokeo hayo na kuwa 6-1.
Mabingwa hao wa Ujreumani wanacheza bila Franck Ribery na Arjen Robben.
No comments:
Post a Comment