Mbunge
wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe
akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa…
Mgomo
ambao ulianza jana na kuendelea hdi leo Mei 5, umechukua sura mpya
baada ya hali tete ya kutoelewana baina ya viongozi wa madereva na
baadhi ya viongozi wa Serikali ikiwemo jeshi la Polisi nchini,
akiongozwa na Kamanda Mpinga, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda
ambapo viongozi hao na madereva licha ya kufikia muafaka walikubaliana
watiliane makubaliano ya maandishi, hali ambayo inasubiriwa sasa.
Hata
hivyo, Mbowe wa Chadema ambaye ametinga hapa, ameingia katika ofisi
hizo na kuendelea na majadiliano huku wandishi tukiwa nje tukisubiria
muafaka huo.
Hata hivyo kuna wakati majira ya saa nne kasoro asubuhi ilitokea vurugu kubwa na kutupwa mabomu
No comments:
Post a Comment