Thursday 7 May 2015

Watu wanne wafa kwa mafuriko Dar

Watu nane wamekufa na mamia kukosa makazi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania.
Kwa mujibu wetu aliyepo jijini Dar es Salaam mvua hizo zimekuwa zikinyesha mfulullizo na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu pamoja baadhi ya watu kukosa makazi yao.
Kumekuwa na foleni kubwa ya magari na baadhi ya watu wamechelewa kwenda na kurudi kazini.
Mamlaka ya hali hewa nchini imetahadharisha kuwa mvua hizo zinaweza kuendelea japo zitapungua kidogo

No comments: