Prodyuza huyo aliweka wazi mipango yake hiyo huku akidai tayari ameshanunua baadhi ya vifaa vipya kwa ajili ya kuimarisha studio yake iwe katika ubora wa kimataifa kama studio nyingine zinazoongoza kwa ubora duniani.
“Hiyo ni zaidi ya ‘surprise’, kwa ubora wa vyombo vyangu nina imani ‘beat’ itakayotoka hapo itakuwa kwenye kiwango cha hali ya juu na kazi yetu itakuwa nzuri sana,” alimaliza.
No comments:
Post a Comment