Monday, 5 May 2014

Waziri Mkuu wa Slovania ajiuzulu

Alenka Bratusek amejiuzulu baada ya kupoteza uongozi wa chama chake.


waziri-mkuu-wa-slovania-ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Slovania Alenka Bratusek ameitisha kujiuzulu kwake. Bratusek ameitisha uchaguzi wa bungeni  kufanywa mapema mwezi ujao baada ya kujiuzulu.
Bratusek mwenye miaka 44 ambaye amepoteza uongozi wa chama chake cha Positive Slovania Party, alimwambia Meya wa mji mkuu wa Ljubljana, Zoran Jankovic kuwa bila ya msaada kutoka kwa chama chake hatoweza kuiongoza serikali.
Wabunge wa Slovania wanangoja kujiuzulu rasmi kwa Waziri Mkuu huyo.
Washirika wa muungano wametishia kujiuzulu kutoka serikalini kwa kuwa Jankovic anakabiliwa na uchunguzi wa rushwa

No comments: