Mpiga mbizi mmoja akijaribu kuokoa miili iliyozama katika ferry amefariki.
Vikosi vilivyokuwa juu vilipoteza mawasiliano na mpiga mbizi huyo na hivyo kumvuta juu.
Mwokoaji huyo alipelekwa hospitalini mara moja lakini tayari alikuwa amepoteza uhai wake.
Mnamo mwezi Aprili tarehe 16, kivuko hicho kilizama na watu 476 ndani yake na watu 174 pekee ndio walioweza kunusurika. Hadi sasa miili 263 zimepatikana huku miili 39 kutotambuliwa licha ya wiki za juhudi ndefu.
No comments:
Post a Comment