Sekta
hiyo ambayo imefanya ongezeko la mauzo kwa asilimia 20 katika miezi
mitatu ya kwanza ya mwaka huu, inatarajia kufanya mauzo ya dola milioni 2
kufikia mwisho wa mwaka.
Katika miaka ya hivi karibuni, nchi ya Uturuki imekuwa ikibaini bidhaa za asili mara kwa mara katika sekta hiyo ya ulinzi.
Bidhaa hizo zenye thamani stahilifu kuanza
kutumika na Vikosi vya Jeshi vya Uturuki vimesababisha ongezeko la
mahitaji katika vikosi vya dunia.
Nchi ya Uturuki ambayo ilifanya mauzo ya
dola milioni 600 ya bidhaa za ulinzi mwaka wa 2008, takwimu za mwaka
jana zilipanda hadi dola bilioni 1 milioni 400.
Ndani ya kipindi hicho, jumla ya ongezeko katika biasharanje ya Uturuki ni %5,6.
No comments:
Post a Comment