Waziri wa Mambo ya Ndani wa
Nigeria ameiambia BBC kuwa nikutoitendea haki serikali kwa kuilamu kuwa
haikufanya chochote kuwaokoa wasichana wapatao mia mbili waliotekwa.
Wanajeshi wa Nigeria wakiwasaka Boko Haram |
"Waziri Abba Moro amesema Nigeria imefanya kila linalowezekana kuwaokoa wasichana hao lakini inatokana na unyeti wa operesheni yenyewe japo hakufafanua kwa undani unyeti."
Wasichana hao walitekwa wiki mbili zilizopita wakiwa katika mabweni ya shule iliyopo Kaskazini mashariki na kundi linalosaidikiwa kuwa ni wapigani wa Kiislamu wa Boko Haram
No comments:
Post a Comment