Monday 12 May 2014

Wanafunzi wakabidhiwa miaka 4 gerezani Misri.


wanafunzi-wakabidhiwa-miaka-4-gerezani-misri

Wanafunzi 37 wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar nchini Misri wamekabidhiwa kifungo cha miaka 4 gerezani kila mmoja.
Wanafunzi 37 wa Chuo Kikuu cha AL-Azhar wamekabidhiwa kifungo cha miaka 4 kila mmoja kwa mashtaka ya ''kushiriki katika vurugu'' nchini Misri.
Mahakama ya Hakimu ilioko Nasr City jijini Cairo iliwakabidhi wanafunzi hao 37 kifungo cha miaka 4 na kuwatoza faini ya Cüneyh elfu 30 (dola 4,250) kila mmoja kwa mashtaka ya ''kushiri katika vurugu'' na kukiuka sheria za maandamano''.

No comments: