Chama tawala nchini Afrika Kusini African National Congress ANC
kimeshinda kwa zaidi ya asilimi sitini katika uchaguzi wa bunge na
kuendeleza uongozi wa chama hicho .
Uchaguzi wa Afrika Kusini
Chama hicho ambacho kimekuwepo madarakani kwa miaka ishirini sasa tangu
kukamilika enzi za ubaguzi wa rangi nchini humo kinamhakikishia Rais
Jacob Zuma muhula wa pili madarakani licha ya kuzongwa na kashfa mbali
mbali. Caro Robi amezungumza na mwandishi habari Isaac Khomo aliye mjini
Johannesburg na kwanza alimuuliza ushindi huu wa ANC una maanisha nini?
Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo
chini.
No comments:
Post a Comment