Saturday, 3 May 2014

Wapiganaji wakigeni waongezeka Syria: Marekani

Idadi ya raia wa kigeni wanaoenda kupigana vita nchini Syria yaongezeka.

wapiganaji-wakigeni-waongezeka-syria-marekani

Shirikisho la uchunguzi la Marekani, FBI limearifu kuongezeka kwa idadi ya wapiganaji wa kigeni nchini  Syria.
Katika maelezo aliyoyatoa kwa waandishi wa habari, raisi wa FBI, James Comey alisema kuwa idadi ya watu kutoka Marekani na nchi nyingine wanaoenda Syria kwa ajili ya kupigana vita inaongezeka aliashiria.
wakati akielezea wasiwasi wao hawa watu kuhusu mfumo wa radikal, Comey alisema hili sasa ni tishio kwa usalama wa taifa.
Comey ameeleza kuwa watu walioishi huko Afganistan miaka ya 1980 na ya 1990 waliishi katika mazingira yanayofanana na haya

No comments: