Kwa
mara ya kwanza Urusi itajiunga katika kongamano la G8 utakaofanyika Mei 5-6.

Hapo awali Urusi ilijitoa kutoka kongamano la G8 Kwa sababu ya migogoro ulioko baina yake na
Ukraine.
Urusi itajiunga katika kongamano la G8 utakaofanyika Mei 5-6 Mjini Rome
huku nchi zingine zitakazotokea zikiwemo Ujerumani, Uingereza,
Ufaransa, Italia, Marekani,
Canada na Japan.Wataalam katika
mkutano utakaohudhuriwa tu na mawaziri wa nishati wa Umoja wa Ulaya (EU)
na watazingatia njama ya kupunguza utegemezi wa Nishati kutoka Urusi
na hilo litakuwa ajenda kuu.
Urusi ilijiunga na G8 lenye umaarufu wa kuwa kikundi lenye uwezo
mkubwa mwaka wa 1998.katika hague ambako nchi zingine saba
zikiwemo Ujerumani, Uingereza, Ufaransa, Italia, Marekani, Canada na
Japan ziliungana mikono pamoja .Urusi ulibanduliwa nje ya G8 mnamo mwezi juni juu ya migogoro yake na UKraine.
No comments:
Post a Comment