Friday, 2 May 2014

Wahamiaji kutambuliwa,Myanmar

Serikali ya Myanmar itawapa vitambulisho vya muda na baadaye kusajiliwa na kuwa na huru wa kutembea licha ya waislamu wa Arakan kutotambuliwa kwa muda.


wahamiaji-kutambuliwamyanmarMwakilishi wa Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Ban Ki -moon nchini Myanmar, Vijay Nambiar alisema wahamiaji haramu wanaoishi katika Myanmar ya magharibi Arakan wengi wao wakiwa ni waislamu wataanza kutambuliwa kama wananchi wa nchi hiyo na kupewa vyeti vitakavyodhibitisha kuwa wao ni wananchi huru wa Myanmar.
Serikali ya Myanmar itawapa vitambulisho vya muda na baadaye kusajiliwa na kuwa na huru wa kutembea licha ya waislamu wa Arakan kutotambuliwa kwa muda.
Mbeleni Waislamu wachache tu ndo walipewa vitambulisho na wengi wao wakiishi maisha ya kutokuwa na  kidemokrasia.Uraia usipotambuliwa maisha ya waislamu wengi wa Arakan kutishiwa.
Mnyamar ulikumbwa na vita vya kidini kati ya Waislamu na Mabudha amabayo ulisababisha ubaguzi  na maendeleo ya nchi hiyo kudidimia.Wahamiaji wengi walioko Arakan wametoka nchi jirani ya Bangladesh na walipoteza haki zao na kisheria mwaka wa 1982.
Mwaka jana, Waislam wengi walitekeza  mashambulizi ya Mabudhana  juu ya watu 280 waliuawa, mamia ya nyumba na majengo ya biashara ziliwashwa moto , watu 250,000 walikuwa wamelazimika kuondoka makwao.

No comments: