Friday, 2 May 2014

Mdudu mwenye kasi zaid agundulika


 Mmoja wa viumbe kasi zaidi duniani imegunduliwa kutoka katika familia ya wadudu.
Aina ya konokono  nchini Marekani katika jimbo la California alionekana kukimbia umbali wa mara 332 wa urefu wa mwili wake katika nukta moja.
kiumbe-kasi-zaidi-dunianiWanasayansi wakitazama kutumia kamera yenye kasi , walilinganisha urefu wa konokono pamoja na miguu yake ikiwa ni milimita 3, na kasi yake.“Paratarsotomus macropalpis” alivunja rekodi ya sururu, aina ya mbwakawa.
Wanasayansi waliweza pia kuona konokono hao wakibadilisha njia na kuendelea kukimbia kwa kasi hio hio.
Sururu anaweza kukumbia kasi ya mara 171 ya urefu wa mwili wake katika nukta moja.
Matokeo ya uchunguzi huo umechapishwa katika jarida la “FASEB”.la huko uturuki

No comments: