Tume ya taifa nchini Burundi imetangaza ratiba ya tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge.
Hata hivyo, msemaji wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Burundi Prosper Naugwania amesema bado
vyama vya siasa havijatoa kauli kuhusu tarehe hizo.Awali, Halima Nyanza alizungumza na Msemaji huyo wa Tume ya uchaguzi ya Burundi nae anaanza kwa kuzitaja tarehe hizo
BOFYA HAPA KUSIKILIZA
No comments:
Post a Comment