Mkuu wa polisi wa Arusha Liberatus Sabas aliarifu kwamba operesheni ilitekelezwa kwa lengo la kuikomboa nchi kutokana na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
Operesheni hiyo ilitekelezwa kwa ushirikiano wa polisi, idara ya kukabiliana na madawa ya kulevya pamoja na vikosi vingine vya usalama.
Katika operesheni hiyo iliyofanyika kwa siku tano mfululizo, polisi wamefanikiwa kuharibu hekari 15 za mashamba ya madawa ya kulevya katika maeneo ya Mlima Meru nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment