Kwa
mara ya pili mfululizo waandalizi wa shindano la malkia wa urembo
nchini Zimbabwe wametupilia mbali ushindi wa taji hilo uliomwendea
malkia wa urembo kufuatia sakata ya picha za uchi.
Emily Kachote
alikuwa ameshinda taji la malkia wa urembo nchini Zimbabwe mnamo mwezi
Aprili na alitarajiwa kuwakilisha taifa hilo katika mashindano ya dunia
ya malkia wa urembo nchini Uchina mnamo mwezi disemba.Lakini waandalizi wa taji hilo wanasema kuwa bi kachote alikiuka sheria ya shindano hilo ambalo linapinga wanaoshindana kupiga picha za uchi
No comments:
Post a Comment