Katika taarifa iliyotolewa kutoka Twitter, Costolo anatarajia kumaliza muda wake tarehe 1 mwezi Julai, na nafasi yake inatarajiwa kuchukuliwa kwa muda na Dorsey aliyekuwa mkurugezi mwaka 2007 na 2008.
Costolo, amezungumza Katika taarifa yake, kuwa ukuaji wa timu Twitter na lengo la kutaka kubadisha dunia ,na pia alieleza kuendeleza dhamira ya kuwa na Bodi ya wakurugenzi.
Costolo ambaye ameiongoza twitter kwa muda wa miaka 6,amesema haya wakati alipokuwa anajiuzulu "ninayofahari kubwa kwa timu yake ya Twitter."
No comments:
Post a Comment