Kwa mujibu wa utafiti ulifanywa na chuo kikuu cha udaktari cha Tokyo,
Juisi ya nyanya imekuwa jibu kwa wanawakekwa wengi duniani katika ile
ndoto yao kubwa ya kupunguza madhara ya kufikia kikomo cha kuweza
kubeba ujauzito.
Wataalamu kutoka chuo cha udaktari cha Tokyo,wametoa ushauri kwa wanawake kunywa vikombe viwili vya juisi ya nyanya kwa siku kwa ajili ya kutatua matatizo hayo.
wanasayansi wa Japani wamesisitiza kunywa mara mbili kwa siku ambayo ni siwa na mililita 200 ya juisi hiyo ya nyanya kwa muda wa wiki 8.
kwa mujibu wa utafiti huo inasadikika kuwa juisi ya nyanya kupunguza matatizo mengi yakiwemo msongo wa mawazo,homa kali, na hali ya kukasirika.
aidha Wanasayansi hao walisisitiza kuwa juisi ya nyanya hupunguza mafuta kwa kasi zaidi ambapo itakuwa faida kubwa kwa wanawake wengi duniani.

No comments:
Post a Comment